Darubini ya Afrika (Kiswahili)Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Vikosi vya usalama Uganda vimetahadharishwa kuhusu jaribio la kigaidi

View descriptionShare

Vikosi vya usalama nchini Uganda viko katika hali ya tahadhari baada ya wapiganaji kutoka kundi lenye uhusiano na Islamic State kuonekana kuingia nchini humo mwishoni mwa juma.

Abedi Jean dela croix alifanya mahojiano na mwandishi wetu Cassius Ochokombege kutoka Kampala-Uganda, Cassius alianza kwa kufafanua zaidi kuhusiana na taarifa hiyo.

  • Facebook
  • Twitter
  • WhatsApp
  • Email
  • Download

In 1 playlist(s)

  1. Darubini ya Afrika (Kiswahili)

    468 clip(s)

Darubini ya Afrika (Kiswahili)

Current Affairs featuring various segments.
Recent clips
Browse 598 clip(s)