Je, umeshawahi kushushwa kwenye daladala ili kupisha zoezi la ujazaji mafuta?

JF Toons

Digital Art by JF
Feb 19, 2024
32
68
1708352222703.png
Kwanini madereva wa usafiri wa umma na binafsi hawafuati utaratibu wa kushusha abiria wanapoingia kwenye kituo cha kujaza mafuta?
 
Pamoja na ukweli kuwa madereva/konda wanazembea kujaza mafuta gari likiwa tupu, lakini sisi abiria pia tunakuwa wagumu kushuka pale gari linapokuwa linajazwa mafuta. Halafu binafsi huwezi kunishusha kwenye daladala ili likajaze mafuta, mpaka siku nione madhara watu wameungua kwenye kituo cha mafuta ndio nitaanza kuchukua hadhari.
 
Pengine tuseme hivi. Wakati wanajaza mafuta wanatakiwa kuhakikisha siyo katikakati ya trip. I mean wajaze kwanza ndiyo waanze kazi, na kama ni kuongeza basi, waende kuongeza kwanza kabla hawajarudi kubeba tena abiria.
 
Hii ni elimu tosha kwa madereva, makondakta na Raia wema pia. Ilibidi itolewe na SUMATRA KILA WIKI katika mitandao tofauti.
 
Back
Top Bottom